adelphil

SISI NI NANI?

AdelPhil Online Academy ni taasisi ya elimu yamtandaoni inayotumia teknolojia ya kisasa kabisa katika uwasilishaji mafunzo.

TUNAFANYA NINI?

Tunatoa elimu ya mtandaoni kwa kutumia teknolojia ya kisasa kabisa. Kipaumbele katika utoaji na upokeaji wa mafunzo ni kwa mwanafunzi kuwa na maamuzi huru badala ya mfumo uliozoeleka wa maamuzi kufanywa na taasisi ya elimu/utawala/wakufunzi/walimu